This blog is proudly sponsored by Vodacom
Dollywood: MUUNGANO DAY!!!

Tuesday, April 26, 2011

MUUNGANO DAY!!!

DOLLYWOOD TEAM & BLOG INAWATAKIA WATANZANIA WOTE KWA PAMOJA KATIKA SHEREHE NA SHAMRASHAMRA ZA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR ULIOFANYIKA MIAKA(47)ILIYOPITA TAREHE KAMA YA LEO MWAKA(I964) WAASISI WA TAIFA HILI,WAZEE WETU MWL -JULIAS.K. NYERERE NA -SHEIKH - ABED.A.KARUME KWA PAMOJA WALIKUBALIANA KULIUNGANISHA KUWA TAIFA MOJA,LEO HII WATANZANIA TUNATAKIWA TUDUMISHE UPENDO,UMOJA NA AMANI KWA TAIFA LETU LA TANZANIA.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako hapa!