This blog is proudly sponsored by Vodacom
Dollywood: TIP'S.

Monday, June 6, 2011

TIP'S.

SURUALI NI VAZI LINALO VALIWA,NA WAVULANA NA WASICHANA,IWE YA KITAMBAA AU JEAN'S.
KWA WASICHANA SURUALI HIYO HUWEZA KUBANA AU KUTOBANA ILA INATAKIWA KUVALIWA KWA
KUANGALIA UMBO LA MVAAJI JINSI ITAKAVYO MKAA ILI AWEZE KUONEKANA AMEPENDEZA.
PIA UNATAKIWA KUCHAGUA BLAUZI,SHATI AU FULANA AMBAYO ITA ENDANA NA SURUALI YAKO ILI
INAKSHI VIZURI NA KULETA MVUTO,KWA MFANO:UMEVAA SURUALI NYEUSI BASI CHAGUA RANGI YOYOTE UNAYO IPENDA NA UVAE NA UTAPENDEZA!TUJIFUNZE KUVAA NGUO AMBAZO ZINAENDANA NA RANGI YA MWILI NA MATCHING,KUANZIA KICHWANI MPAKA MIGUUNI(tip's by zuhura,dollywood model)

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako hapa!