Ofisa Mkuu wa masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba,akikusanya fedha zilizokuwa zikichangishwa na wafanyakazi wa kampuni hiyo wakati wa kampeni ya kipekee ya 'Find your Moyo” inayohamasisha wafanyakazi wa kampuni hiyo kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya akina mama wanaosumbuliwa na tatizo la Obstetric Fistula ili waweze kutibiwa BURE hapa nchini.Kwa kuchangia kwa njia ya M-PESA tafadhali tuma pesa kwenda namba 200500,na kuchangia kwa njia ya SMS tuma ujumbe mfupi usemao MOYO kwenda namba 15599. |
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako hapa!