This blog is proudly sponsored by Vodacom
Dollywood

Saturday, April 16, 2011

hii ni moja kati ya hatua muhimu kwa binaadam,na kila mmoja wetu ana tamani kufikia hapa,sio mchezo inahitaji bidii,uvumilivu na uaminifu."one love bro & sister"mmeshainii mbaya!!blog ya dollywood inawapongeza sana!


"na hawa nao hawa kuwa njuma kuonesha furaha zao"




hongera man kwa kuacha ukapera.

hilo ni lako usiliachie mamy!!!!umetoka chikopa!!!!

"njoonii bwana"wow nyc (all photo by john)dollywood team


1 comment:

  1. habari me ni msichana mwenye umri miaka 25 ila nimebahatika kupata mtoto sijaolewa nikitaka kujiunga na uanamitindo mtanikubaliiiiiiiiiii?

    ReplyDelete

Toa maoni yako hapa!