This blog is proudly sponsored by Vodacom
Dollywood: HAPPY NEW YEAR 2011

Sunday, January 16, 2011

HAPPY NEW YEAR 2011

 

Timu ya blog ya Dollywood inapenda kuwapongeza wadau wote wa blog hii kwa kuingia mwaka mpya.
Dollywood mwaka huu tumejipanga kukupa vitu vyote ulivyovikosa mwaka jana kwenye fani ya uwanamitindo na tumekutayarishia dondoo mbalimbali ili uweze kupata uwelewa wa fani hii kwa undani.
Hivyo kila siku usikose kutembelea blog hii ili upante vitu vizuri.

1 comment:

Toa maoni yako hapa!