Vodacom Miss Tanzania 2010 aliemaliza muda wake  Genavive Mpangala akimvisha taji la ushindi wa Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Israel mara baada ya kutangazwa mshindi.

   Salha alipokabidhiwa funguo ya gari lake aina ya JEEP PATRIOT lenye thamani ya sh. millioni 72 usiku huo.
Top five ya Vidacom Miss Tanzania 2011.